Native Bible

Psalms 107:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakachukia kabisa vyakula vyote, wakakaribia malango ya mauti.

Psalms 107:18 in English

Psalms 107:18 · Berean Standard Bible

They loathed all food and drew near to the gates of death.

Context

16kwa kuwa yeye huvunja malango ya shaba na kukata mapingo ya chuma. 17Wengine wakawa wapumbavu kutokana na uasi wao, wakapata mateso kwa sababu ya uovu wao. 18Wakachukia kabisa vyakula vyote, wakakaribia malango ya mauti. 19Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. 20Akalituma neno lake na kuwaponya, akawaokoa kutoka maangamizo yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.