Zaburi 107:20
Psalms 107:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akalituma neno lake na kuwaponya, akawaokoa kutoka maangamizo yao.
Psalms 107:20 in English
Psalms 107:20 · Berean Standard Bible
He sent forth His word and healed them; He rescued them from the Pit.
Context
18Wakachukia kabisa vyakula vyote,
wakakaribia malango ya mauti. 19Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao,
naye akawaokoa kutoka taabu yao. 20Akalituma neno lake na kuwaponya,
akawaokoa kutoka maangamizo yao. 21Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma,
na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. 22Na watoe dhabihu za kushukuru,
na wasimulie matendo yake kwa nyimbo za furaha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.