Native Bible

Psalms 107:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu.

Psalms 107:21 in English

Psalms 107:21 · Berean Standard Bible

Let them give thanks to the LORD for His loving devotion and His wonders to the sons of men.

Context

19Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. 20Akalituma neno lake na kuwaponya, akawaokoa kutoka maangamizo yao. 21Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. 22Na watoe dhabihu za kushukuru, na wasimulie matendo yake kwa nyimbo za furaha. 23Wengine walisafiri baharini kwa meli, walikuwa wafanyabiashara kwenye maji makuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.