Native Bible

Psalms 106:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Adui zao wakawaonea na kuwatia chini ya mamlaka yao.

Psalms 106:42 in English

Psalms 106:42 · Berean Standard Bible

Their enemies oppressed them, and subdued them under their hand.

Context

40Kwa hiyo Bwana akawakasirikia watu wake na akauchukia sana urithi wake. 41Akawakabidhi kwa mataifa na adui zao wakawatawala. 42Adui zao wakawaonea na kuwatia chini ya mamlaka yao. 43Mara nyingi aliwaokoa lakini walikuwa wamezama kwenye uasi, nao wakajiharibu katika dhambi zao. 44Lakini akaangalia mateso yao wakati aliposikia kilio chao;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.