Native Bible

Psalms 106:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo Bwana akawakasirikia watu wake na akauchukia sana urithi wake.

Psalms 106:40 in English

Psalms 106:40 · Berean Standard Bible

So the anger of the LORD burned against His people, and He abhorred His own inheritance.

Context

38Walimwaga damu isiyo na hatia, damu za wana wao na binti zao, ambao waliwatoa dhabihu kwa sanamu za Kanaani, nayo nchi ikanajisika kwa damu zao. 39Wakajinajisi wenyewe kwa yale waliyotenda; kwa matendo yao wenyewe wakajifanyia ukahaba. 40Kwa hiyo Bwana akawakasirikia watu wake na akauchukia sana urithi wake. 41Akawakabidhi kwa mataifa na adui zao wakawatawala. 42Adui zao wakawaonea na kuwatia chini ya mamlaka yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.