Zaburi 106:41
Psalms 106:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawakabidhi kwa mataifa na adui zao wakawatawala.
Psalms 106:41 in English
Psalms 106:41 · Berean Standard Bible
He delivered them into the hand of the nations, and those who hated them ruled over them.
Context
39Wakajinajisi wenyewe kwa yale waliyotenda;
kwa matendo yao wenyewe wakajifanyia ukahaba. 40Kwa hiyo Bwana akawakasirikia watu wake
na akauchukia sana urithi wake. 41Akawakabidhi kwa mataifa
na adui zao wakawatawala. 42Adui zao wakawaonea
na kuwatia chini ya mamlaka yao. 43Mara nyingi aliwaokoa
lakini walikuwa wamezama kwenye uasi,
nao wakajiharibu katika dhambi zao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.