Zaburi 106:39
Psalms 106:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakajinajisi wenyewe kwa yale waliyotenda; kwa matendo yao wenyewe wakajifanyia ukahaba.
Psalms 106:39 in English
Psalms 106:39 · Berean Standard Bible
They defiled themselves by their actions and prostituted themselves by their deeds.
Context
37Wakawatoa wana wao
na binti zao dhabihu kwa mashetani. 38Walimwaga damu isiyo na hatia,
damu za wana wao na binti zao,
ambao waliwatoa dhabihu kwa sanamu za Kanaani,
nayo nchi ikanajisika kwa damu zao. 39Wakajinajisi wenyewe kwa yale waliyotenda;
kwa matendo yao wenyewe wakajifanyia ukahaba. 40Kwa hiyo Bwana akawakasirikia watu wake
na akauchukia sana urithi wake. 41Akawakabidhi kwa mataifa
na adui zao wakawatawala.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.