Native Bible

Psalms 106:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakawatoa wana wao na binti zao dhabihu kwa mashetani.

Psalms 106:37 in English

Psalms 106:37 · Berean Standard Bible

They sacrificed their sons and their daughters to demons.

Context

35bali walijichanganya na mataifa na wakazikubali desturi zao. 36Waliabudu sanamu zao, zikawa mtego kwao. 37Wakawatoa wana wao na binti zao dhabihu kwa mashetani. 38Walimwaga damu isiyo na hatia, damu za wana wao na binti zao, ambao waliwatoa dhabihu kwa sanamu za Kanaani, nayo nchi ikanajisika kwa damu zao. 39Wakajinajisi wenyewe kwa yale waliyotenda; kwa matendo yao wenyewe wakajifanyia ukahaba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.