Native Bible

Psalms 106:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waliabudu sanamu zao, zikawa mtego kwao.

Psalms 106:36 in English

Psalms 106:36 · Berean Standard Bible

They worshiped their idols, which became a snare to them.

Context

34Hawakuyaangamiza yale mataifa kama Bwana alivyowaagiza, 35bali walijichanganya na mataifa na wakazikubali desturi zao. 36Waliabudu sanamu zao, zikawa mtego kwao. 37Wakawatoa wana wao na binti zao dhabihu kwa mashetani. 38Walimwaga damu isiyo na hatia, damu za wana wao na binti zao, ambao waliwatoa dhabihu kwa sanamu za Kanaani, nayo nchi ikanajisika kwa damu zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.