Native Bible

Psalms 106:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawakuyaangamiza yale mataifa kama Bwana alivyowaagiza,

Psalms 106:34 in English

Psalms 106:34 · Berean Standard Bible

They did not destroy the peoples as the LORD had commanded them,

Context

32Kwenye maji ya Meriba, walimkasirisha Bwana, janga likampata Mose kwa sababu yao; 33kwa maana walimwasi Roho wa Mungu, na maneno yasiyofaa yakatoka midomoni kwa Mose. 34Hawakuyaangamiza yale mataifa kama Bwana alivyowaagiza, 35bali walijichanganya na mataifa na wakazikubali desturi zao. 36Waliabudu sanamu zao, zikawa mtego kwao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.