Zaburi 106:35
Psalms 106:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
bali walijichanganya na mataifa na wakazikubali desturi zao.
Psalms 106:35 in English
Psalms 106:35 · Berean Standard Bible
but they mingled with the nations and adopted their customs.
Context
33kwa maana walimwasi Roho wa Mungu,
na maneno yasiyofaa yakatoka midomoni kwa Mose. 34Hawakuyaangamiza yale mataifa
kama Bwana alivyowaagiza, 35bali walijichanganya na mataifa
na wakazikubali desturi zao. 36Waliabudu sanamu zao,
zikawa mtego kwao. 37Wakawatoa wana wao
na binti zao dhabihu kwa mashetani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.