Native Bible

Psalms 106:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walimwaga damu isiyo na hatia, damu za wana wao na binti zao, ambao waliwatoa dhabihu kwa sanamu za Kanaani, nayo nchi ikanajisika kwa damu zao.

Psalms 106:38 in English

Psalms 106:38 · Berean Standard Bible

They shed innocent blood— the blood of their sons and daughters, whom they sacrificed to the idols of Canaan, and the land was polluted with blood.

Context

36Waliabudu sanamu zao, zikawa mtego kwao. 37Wakawatoa wana wao na binti zao dhabihu kwa mashetani. 38Walimwaga damu isiyo na hatia, damu za wana wao na binti zao, ambao waliwatoa dhabihu kwa sanamu za Kanaani, nayo nchi ikanajisika kwa damu zao. 39Wakajinajisi wenyewe kwa yale waliyotenda; kwa matendo yao wenyewe wakajifanyia ukahaba. 40Kwa hiyo Bwana akawakasirikia watu wake na akauchukia sana urithi wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.