Native Bible

Psalms 106:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mara nyingi aliwaokoa lakini walikuwa wamezama kwenye uasi, nao wakajiharibu katika dhambi zao.

Psalms 106:43 in English

Psalms 106:43 · Berean Standard Bible

Many times He rescued them, but they were bent on rebellion and sank down in their iniquity.

Context

41Akawakabidhi kwa mataifa na adui zao wakawatawala. 42Adui zao wakawaonea na kuwatia chini ya mamlaka yao. 43Mara nyingi aliwaokoa lakini walikuwa wamezama kwenye uasi, nao wakajiharibu katika dhambi zao. 44Lakini akaangalia mateso yao wakati aliposikia kilio chao; 45kwa ajili yao akakumbuka agano lake, na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.