Zaburi 106:44
Psalms 106:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini akaangalia mateso yao wakati aliposikia kilio chao;
Psalms 106:44 in English
Psalms 106:44 · Berean Standard Bible
Nevertheless He heard their cry; He took note of their distress.
Context
42Adui zao wakawaonea
na kuwatia chini ya mamlaka yao. 43Mara nyingi aliwaokoa
lakini walikuwa wamezama kwenye uasi,
nao wakajiharibu katika dhambi zao. 44Lakini akaangalia mateso yao
wakati aliposikia kilio chao; 45kwa ajili yao akakumbuka agano lake,
na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake. 46Akawafanya wahurumiwe
na wote waliowashikilia mateka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.