Zaburi 102:6
Psalms 102:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimekuwa kama bundi wa jangwani, kama bundi kwenye magofu.
Psalms 102:6 in English
Psalms 102:6 · Berean Standard Bible
I am like a desert owl, like an owl among the ruins.
Context
4Moyo wangu umefifia na kunyauka kama jani,
ninasahau kula chakula changu. 5Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu,
nimebakia ngozi na mifupa. 6Nimekuwa kama bundi wa jangwani,
kama bundi kwenye magofu. 7Nilalapo sipati usingizi,
nimekuwa kama ndege mpweke
kwenye paa la nyumba. 8Mchana kutwa adui zangu hunidhihaki,
wale wanaonizunguka hutumia jina langu kama laana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.