Zaburi 102:5
Psalms 102:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu, nimebakia ngozi na mifupa.
Psalms 102:5 in English
Psalms 102:5 · Berean Standard Bible
Through my loud groaning my flesh clings to my bones.
Context
3Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi,
mifupa yangu inaungua kama kaa la moto. 4Moyo wangu umefifia na kunyauka kama jani,
ninasahau kula chakula changu. 5Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu,
nimebakia ngozi na mifupa. 6Nimekuwa kama bundi wa jangwani,
kama bundi kwenye magofu. 7Nilalapo sipati usingizi,
nimekuwa kama ndege mpweke
kwenye paa la nyumba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.