Zaburi 102:7
Psalms 102:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nilalapo sipati usingizi, nimekuwa kama ndege mpweke kwenye paa la nyumba.
Psalms 102:7 in English
Psalms 102:7 · Berean Standard Bible
I lie awake; I am like a lone bird on a housetop.
Context
5Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu,
nimebakia ngozi na mifupa. 6Nimekuwa kama bundi wa jangwani,
kama bundi kwenye magofu. 7Nilalapo sipati usingizi,
nimekuwa kama ndege mpweke
kwenye paa la nyumba. 8Mchana kutwa adui zangu hunidhihaki,
wale wanaonizunguka hutumia jina langu kama laana. 9Ninakula majivu kama chakula changu
na nimechanganya kinywaji changu na machozi
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.