Native Bible

Psalms 102:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mchana kutwa adui zangu hunidhihaki, wale wanaonizunguka hutumia jina langu kama laana.

Psalms 102:8 in English

Psalms 102:8 · Berean Standard Bible

All day long my enemies taunt me; they ridicule me and curse me.

Context

6Nimekuwa kama bundi wa jangwani, kama bundi kwenye magofu. 7Nilalapo sipati usingizi, nimekuwa kama ndege mpweke kwenye paa la nyumba. 8Mchana kutwa adui zangu hunidhihaki, wale wanaonizunguka hutumia jina langu kama laana. 9Ninakula majivu kama chakula changu na nimechanganya kinywaji changu na machozi 10kwa sababu ya ghadhabu yako kuu, kwa maana umeniinua na kunitupa kando.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.