Zaburi 102:9
Psalms 102:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninakula majivu kama chakula changu na nimechanganya kinywaji changu na machozi
Psalms 102:9 in English
Psalms 102:9 · Berean Standard Bible
For I have eaten ashes like bread and mixed my drink with tears
Context
7Nilalapo sipati usingizi,
nimekuwa kama ndege mpweke
kwenye paa la nyumba. 8Mchana kutwa adui zangu hunidhihaki,
wale wanaonizunguka hutumia jina langu kama laana. 9Ninakula majivu kama chakula changu
na nimechanganya kinywaji changu na machozi 10kwa sababu ya ghadhabu yako kuu,
kwa maana umeniinua na kunitupa kando. 11Siku zangu ni kama kivuli cha jioni,
ninanyauka kama jani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.