Zaburi 102:11
Psalms 102:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, ninanyauka kama jani.
Psalms 102:11 in English
Psalms 102:11 · Berean Standard Bible
My days are like lengthening shadows, and I wither away like grass.
Context
9Ninakula majivu kama chakula changu
na nimechanganya kinywaji changu na machozi 10kwa sababu ya ghadhabu yako kuu,
kwa maana umeniinua na kunitupa kando. 11Siku zangu ni kama kivuli cha jioni,
ninanyauka kama jani. 12Lakini wewe, Ee Bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele,
sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote. 13Utainuka na kuihurumia Sayuni,
kwa maana ni wakati wa kumwonyesha wema;
wakati uliokubalika umewadia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.