Native Bible

Psalms 102:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utainuka na kuihurumia Sayuni, kwa maana ni wakati wa kumwonyesha wema; wakati uliokubalika umewadia.

Psalms 102:13 in English

Psalms 102:13 · Berean Standard Bible

You will rise up and have compassion on Zion, for it is time to show her favor— the appointed time has come.

Context

11Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, ninanyauka kama jani. 12Lakini wewe, Ee Bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote. 13Utainuka na kuihurumia Sayuni, kwa maana ni wakati wa kumwonyesha wema; wakati uliokubalika umewadia. 14Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako, vumbi lake lenyewe hulionea huruma. 15Mataifa wataogopa jina la Bwana, wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.