Native Bible

Psalms 102:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mataifa wataogopa jina la Bwana, wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako.

Psalms 102:15 in English

Psalms 102:15 · Berean Standard Bible

So the nations will fear the name of the LORD, and all the kings of the earth will fear Your glory.

Context

13Utainuka na kuihurumia Sayuni, kwa maana ni wakati wa kumwonyesha wema; wakati uliokubalika umewadia. 14Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako, vumbi lake lenyewe hulionea huruma. 15Mataifa wataogopa jina la Bwana, wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako. 16Kwa maana Bwana ataijenga tena Sayuni na kutokea katika utukufu wake. 17Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, wala hatadharau hoja yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.