Native Bible

Psalms 102:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako, vumbi lake lenyewe hulionea huruma.

Psalms 102:14 in English

Psalms 102:14 · Berean Standard Bible

For Your servants delight in her stones and take pity on her dust.

Context

12Lakini wewe, Ee Bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote. 13Utainuka na kuihurumia Sayuni, kwa maana ni wakati wa kumwonyesha wema; wakati uliokubalika umewadia. 14Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako, vumbi lake lenyewe hulionea huruma. 15Mataifa wataogopa jina la Bwana, wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako. 16Kwa maana Bwana ataijenga tena Sayuni na kutokea katika utukufu wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.