Zaburi 102:16
Psalms 102:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana Bwana ataijenga tena Sayuni na kutokea katika utukufu wake.
Psalms 102:16 in English
Psalms 102:16 · Berean Standard Bible
For the LORD will rebuild Zion; He has appeared in His glory.
Context
14Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako,
vumbi lake lenyewe hulionea huruma. 15Mataifa wataogopa jina la Bwana,
wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako. 16Kwa maana Bwana ataijenga tena Sayuni
na kutokea katika utukufu wake. 17Ataitikia maombi ya mtu mkiwa,
wala hatadharau hoja yao. 18Hili na liandikwe kwa ajili ya kizazi kijacho,
ili taifa litakaloumbwa baadaye waweze kumsifu Bwana:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.