Native Bible

Psalms 102:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hili na liandikwe kwa ajili ya kizazi kijacho, ili taifa litakaloumbwa baadaye waweze kumsifu Bwana:

Psalms 102:18 in English

Psalms 102:18 · Berean Standard Bible

Let this be written for the generation to come, so that a people not yet created may praise the LORD.

Context

16Kwa maana Bwana ataijenga tena Sayuni na kutokea katika utukufu wake. 17Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, wala hatadharau hoja yao. 18Hili na liandikwe kwa ajili ya kizazi kijacho, ili taifa litakaloumbwa baadaye waweze kumsifu Bwana: 19“Bwana alitazama chini kutoka patakatifu pake palipo juu, kutoka mbinguni alitazama dunia, 20kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa na kuwaweka huru wale waliohukumiwa kufa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.