Zaburi 102:20
Psalms 102:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa na kuwaweka huru wale waliohukumiwa kufa.”
Psalms 102:20 in English
Psalms 102:20 · Berean Standard Bible
to hear a prisoner’s groaning, to release those condemned to death,
Context
18Hili na liandikwe kwa ajili ya kizazi kijacho,
ili taifa litakaloumbwa baadaye waweze kumsifu Bwana: 19“Bwana alitazama chini kutoka patakatifu pake palipo juu,
kutoka mbinguni alitazama dunia, 20kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa
na kuwaweka huru wale waliohukumiwa kufa.” 21Kwa hiyo jina la Bwana latangazwa huko Sayuni
na sifa zake katika Yerusalemu, 22wakati mataifa na falme zitakapokusanyika
ili kumwabudu Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.