Native Bible

Psalms 102:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo jina la Bwana latangazwa huko Sayuni na sifa zake katika Yerusalemu,

Psalms 102:21 in English

Psalms 102:21 · Berean Standard Bible

that they may proclaim the name of the LORD in Zion and praise Him in Jerusalem,

Context

19“Bwana alitazama chini kutoka patakatifu pake palipo juu, kutoka mbinguni alitazama dunia, 20kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa na kuwaweka huru wale waliohukumiwa kufa.” 21Kwa hiyo jina la Bwana latangazwa huko Sayuni na sifa zake katika Yerusalemu, 22wakati mataifa na falme zitakapokusanyika ili kumwabudu Bwana. 23Katika kuishi kwangu alivunja nguvu zangu, akafupisha siku zangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.