Native Bible

Psalms 102:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakati mataifa na falme zitakapokusanyika ili kumwabudu Bwana.

Psalms 102:22 in English

Psalms 102:22 · Berean Standard Bible

when peoples and kingdoms assemble to serve the LORD.

Context

20kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa na kuwaweka huru wale waliohukumiwa kufa.” 21Kwa hiyo jina la Bwana latangazwa huko Sayuni na sifa zake katika Yerusalemu, 22wakati mataifa na falme zitakapokusanyika ili kumwabudu Bwana. 23Katika kuishi kwangu alivunja nguvu zangu, akafupisha siku zangu. 24Ndipo niliposema: “Ee Mungu wangu, usinichukue katikati ya siku zangu; miaka yako inaendelea vizazi vyote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.