Native Bible

Psalms 102:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo niliposema: “Ee Mungu wangu, usinichukue katikati ya siku zangu; miaka yako inaendelea vizazi vyote.

Psalms 102:24 in English

Psalms 102:24 · Berean Standard Bible

I say: “O my God, do not take me in the midst of my days! Your years go on through all generations.

Context

22wakati mataifa na falme zitakapokusanyika ili kumwabudu Bwana. 23Katika kuishi kwangu alivunja nguvu zangu, akafupisha siku zangu. 24Ndipo niliposema: “Ee Mungu wangu, usinichukue katikati ya siku zangu; miaka yako inaendelea vizazi vyote. 25Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 26Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, zote zitachakaa kama vazi. Utazibadilisha kama nguo nazo zitaondoshwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.