Native Bible

Psalms 102:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.

Psalms 102:25 in English

Psalms 102:25 · Berean Standard Bible

In the beginning You laid the foundations of the earth, and the heavens are the work of Your hands.

Context

23Katika kuishi kwangu alivunja nguvu zangu, akafupisha siku zangu. 24Ndipo niliposema: “Ee Mungu wangu, usinichukue katikati ya siku zangu; miaka yako inaendelea vizazi vyote. 25Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 26Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, zote zitachakaa kama vazi. Utazibadilisha kama nguo nazo zitaondoshwa. 27Lakini wewe, U yeye yule, nayo miaka yako haikomi kamwe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.