Native Bible

Psalms 102:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, zote zitachakaa kama vazi. Utazibadilisha kama nguo nazo zitaondoshwa.

Psalms 102:26 in English

Psalms 102:26 · Berean Standard Bible

They will perish, but You remain; they will all wear out like a garment. Like clothing You will change them, and they will be passed on.

Context

24Ndipo niliposema: “Ee Mungu wangu, usinichukue katikati ya siku zangu; miaka yako inaendelea vizazi vyote. 25Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 26Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, zote zitachakaa kama vazi. Utazibadilisha kama nguo nazo zitaondoshwa. 27Lakini wewe, U yeye yule, nayo miaka yako haikomi kamwe. 28Watoto wa watumishi wako wataishi mbele zako; wazao wao wataimarishwa mbele zako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.