Zaburi 102:27
Psalms 102:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini wewe, U yeye yule, nayo miaka yako haikomi kamwe.
Psalms 102:27 in English
Psalms 102:27 · Berean Standard Bible
But You remain the same, and Your years will never end.*
Context
25Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia,
nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 26Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu,
zote zitachakaa kama vazi.
Utazibadilisha kama nguo
nazo zitaondoshwa. 27Lakini wewe, U yeye yule,
nayo miaka yako haikomi kamwe. 28Watoto wa watumishi wako wataishi mbele zako;
wazao wao wataimarishwa mbele zako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.