Native Bible

Psalms 102:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, wala hatadharau hoja yao.

Psalms 102:17 in English

Psalms 102:17 · Berean Standard Bible

He will turn toward the prayer of the destitute; He will not despise their prayer.

Context

15Mataifa wataogopa jina la Bwana, wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako. 16Kwa maana Bwana ataijenga tena Sayuni na kutokea katika utukufu wake. 17Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, wala hatadharau hoja yao. 18Hili na liandikwe kwa ajili ya kizazi kijacho, ili taifa litakaloumbwa baadaye waweze kumsifu Bwana: 19“Bwana alitazama chini kutoka patakatifu pake palipo juu, kutoka mbinguni alitazama dunia,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.