Native Bible

Psalms 102:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wewe, Ee Bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote.

Psalms 102:12 in English

Psalms 102:12 · Berean Standard Bible

But You, O LORD, sit enthroned forever; Your renown endures to all generations.

Context

10kwa sababu ya ghadhabu yako kuu, kwa maana umeniinua na kunitupa kando. 11Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, ninanyauka kama jani. 12Lakini wewe, Ee Bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote. 13Utainuka na kuihurumia Sayuni, kwa maana ni wakati wa kumwonyesha wema; wakati uliokubalika umewadia. 14Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako, vumbi lake lenyewe hulionea huruma.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.