Native Bible

Psalms 102:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi, mifupa yangu inaungua kama kaa la moto.

Psalms 102:3 in English

Psalms 102:3 · Berean Standard Bible

For my days vanish like smoke, and my bones burn like glowing embers.

Context

1Ee Bwana, usikie maombi yangu, kilio changu cha kuomba msaada kikufikie. 2Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako, ninapoita, unijibu kwa upesi. 3Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi, mifupa yangu inaungua kama kaa la moto. 4Moyo wangu umefifia na kunyauka kama jani, ninasahau kula chakula changu. 5Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu, nimebakia ngozi na mifupa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.