Zaburi 102:2
Psalms 102:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako, ninapoita, unijibu kwa upesi.
Psalms 102:2 in English
Psalms 102:2 · Berean Standard Bible
Do not hide Your face from me in my day of distress. Incline Your ear to me; answer me quickly when I call.
Context
1Ee Bwana, usikie maombi yangu,
kilio changu cha kuomba msaada kikufikie. 2Usinifiche uso wako
ninapokuwa katika shida.
Unitegee sikio lako,
ninapoita, unijibu kwa upesi. 3Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi,
mifupa yangu inaungua kama kaa la moto. 4Moyo wangu umefifia na kunyauka kama jani,
ninasahau kula chakula changu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.