Native Bible

Psalms 102:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wangu umefifia na kunyauka kama jani, ninasahau kula chakula changu.

Psalms 102:4 in English

Psalms 102:4 · Berean Standard Bible

My heart is afflicted, and withered like grass; I even forget to eat my bread.

Context

2Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako, ninapoita, unijibu kwa upesi. 3Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi, mifupa yangu inaungua kama kaa la moto. 4Moyo wangu umefifia na kunyauka kama jani, ninasahau kula chakula changu. 5Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu, nimebakia ngozi na mifupa. 6Nimekuwa kama bundi wa jangwani, kama bundi kwenye magofu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.