Mithali 31:10
Proverbs 31:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata? Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani.*
Proverbs 31:10 in English
Proverbs 31:10 · Berean Standard Bible
A wife * of noble character, who can find? She is far more precious than rubies.
Context
8“Sema kwa ajili ya wale wasioweza kujisemea,
kwa ajili ya haki za wote walioachwa ukiwa. 9Sema na uamue kwa haki,
tetea haki za maskini na wahitaji.” 10Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata?
Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani.* 11Mume wake anamwamini kikamilifu
wala hakosi kitu chochote cha thamani. 12Humtendea mumewe mema, wala si mabaya,
siku zote za maisha yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.