Mithali 31:11
Proverbs 31:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mume wake anamwamini kikamilifu wala hakosi kitu chochote cha thamani.
Proverbs 31:11 in English
Proverbs 31:11 · Berean Standard Bible
The heart of her husband trusts in her, and he lacks nothing of value.
Context
9Sema na uamue kwa haki,
tetea haki za maskini na wahitaji.” 10Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata?
Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani.* 11Mume wake anamwamini kikamilifu
wala hakosi kitu chochote cha thamani. 12Humtendea mumewe mema, wala si mabaya,
siku zote za maisha yake. 13Huchagua sufu na kitani
naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.