Native Bible

Proverbs 31:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huchagua sufu na kitani naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii.

Proverbs 31:13 in English

Proverbs 31:13 · Berean Standard Bible

She selects wool and flax and works with eager hands.

Context

11Mume wake anamwamini kikamilifu wala hakosi kitu chochote cha thamani. 12Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, siku zote za maisha yake. 13Huchagua sufu na kitani naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii. 14Yeye ni kama meli za biashara akileta chakula chake kutoka mbali. 15Yeye huamka kungali bado giza huwapa jamaa yake chakula na mafungu kwa watumishi wake wa kike.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.