Native Bible

Proverbs 31:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye huamka kungali bado giza huwapa jamaa yake chakula na mafungu kwa watumishi wake wa kike.

Proverbs 31:15 in English

Proverbs 31:15 · Berean Standard Bible

She rises while it is still night to provide food for her household and portions for her maidservants.

Context

13Huchagua sufu na kitani naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii. 14Yeye ni kama meli za biashara akileta chakula chake kutoka mbali. 15Yeye huamka kungali bado giza huwapa jamaa yake chakula na mafungu kwa watumishi wake wa kike. 16Huangalia shamba na kulinunua, kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu. 17Hufanya kazi zake kwa nguvu, mikono yake ina nguvu kwa ajili ya kazi zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.