Native Bible

Proverbs 31:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huangalia shamba na kulinunua, kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu.

Proverbs 31:16 in English

Proverbs 31:16 · Berean Standard Bible

She appraises a field and buys it; from her earnings she plants a vineyard.

Context

14Yeye ni kama meli za biashara akileta chakula chake kutoka mbali. 15Yeye huamka kungali bado giza huwapa jamaa yake chakula na mafungu kwa watumishi wake wa kike. 16Huangalia shamba na kulinunua, kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu. 17Hufanya kazi zake kwa nguvu, mikono yake ina nguvu kwa ajili ya kazi zake. 18Huona kwamba biashara yake ina faida, wala taa yake haizimiki usiku.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.