Mithali 31:17
Proverbs 31:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hufanya kazi zake kwa nguvu, mikono yake ina nguvu kwa ajili ya kazi zake.
Proverbs 31:17 in English
Proverbs 31:17 · Berean Standard Bible
She girds herself * with strength and shows that her arms are strong.
Context
15Yeye huamka kungali bado giza
huwapa jamaa yake chakula
na mafungu kwa watumishi wake wa kike. 16Huangalia shamba na kulinunua,
kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu. 17Hufanya kazi zake kwa nguvu,
mikono yake ina nguvu kwa ajili ya kazi zake. 18Huona kwamba biashara yake ina faida,
wala taa yake haizimiki usiku. 19Huweka mikono yake kwenye pia,
navyo vidole vyake hushikilia kijiti chenye uzi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.