Native Bible

Proverbs 31:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huona kwamba biashara yake ina faida, wala taa yake haizimiki usiku.

Proverbs 31:18 in English

Proverbs 31:18 · Berean Standard Bible

She sees that her gain is good, and her lamp is not extinguished at night.

Context

16Huangalia shamba na kulinunua, kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu. 17Hufanya kazi zake kwa nguvu, mikono yake ina nguvu kwa ajili ya kazi zake. 18Huona kwamba biashara yake ina faida, wala taa yake haizimiki usiku. 19Huweka mikono yake kwenye pia, navyo vidole vyake hushikilia kijiti chenye uzi. 20Huwanyooshea maskini mikono yake na kuwakunjulia wahitaji vitanga vyake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.