Native Bible

Proverbs 31:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye ni kama meli za biashara akileta chakula chake kutoka mbali.

Proverbs 31:14 in English

Proverbs 31:14 · Berean Standard Bible

She is like the merchant ships, bringing her food from afar.

Context

12Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, siku zote za maisha yake. 13Huchagua sufu na kitani naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii. 14Yeye ni kama meli za biashara akileta chakula chake kutoka mbali. 15Yeye huamka kungali bado giza huwapa jamaa yake chakula na mafungu kwa watumishi wake wa kike. 16Huangalia shamba na kulinunua, kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.