Mithali 31:12
Proverbs 31:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, siku zote za maisha yake.
Proverbs 31:12 in English
Proverbs 31:12 · Berean Standard Bible
She brings him good and not harm all the days of her life.
Context
10Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata?
Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani.* 11Mume wake anamwamini kikamilifu
wala hakosi kitu chochote cha thamani. 12Humtendea mumewe mema, wala si mabaya,
siku zote za maisha yake. 13Huchagua sufu na kitani
naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii. 14Yeye ni kama meli za biashara
akileta chakula chake kutoka mbali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.