Mithali 31:9
Proverbs 31:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sema na uamue kwa haki, tetea haki za maskini na wahitaji.”
Proverbs 31:9 in English
Proverbs 31:9 · Berean Standard Bible
Open your mouth, judge righteously, and defend the cause of the poor and needy.
Context
7Wanywe na kusahau umaskini wao
na wasikumbuke taabu yao tena. 8“Sema kwa ajili ya wale wasioweza kujisemea,
kwa ajili ya haki za wote walioachwa ukiwa. 9Sema na uamue kwa haki,
tetea haki za maskini na wahitaji.” 10Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata?
Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani.* 11Mume wake anamwamini kikamilifu
wala hakosi kitu chochote cha thamani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.