Native Bible

Proverbs 31:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Sema kwa ajili ya wale wasioweza kujisemea, kwa ajili ya haki za wote walioachwa ukiwa.

Proverbs 31:8 in English

Proverbs 31:8 · Berean Standard Bible

Open your mouth for those with no voice, for the cause of all the dispossessed.

Context

6Wape kileo wale wanaoangamia, mvinyo wale walio na uchungu, 7Wanywe na kusahau umaskini wao na wasikumbuke taabu yao tena. 8“Sema kwa ajili ya wale wasioweza kujisemea, kwa ajili ya haki za wote walioachwa ukiwa. 9Sema na uamue kwa haki, tetea haki za maskini na wahitaji.” 10Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata? Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.