Native Bible

Proverbs 31:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanywe na kusahau umaskini wao na wasikumbuke taabu yao tena.

Proverbs 31:7 in English

Proverbs 31:7 · Berean Standard Bible

Let him drink and forget his poverty, and remember his misery no more.

Context

5wasije wakanywa na kusahau vile sheria inavyoamuru na kuwanyima haki zao wote walioonewa. 6Wape kileo wale wanaoangamia, mvinyo wale walio na uchungu, 7Wanywe na kusahau umaskini wao na wasikumbuke taabu yao tena. 8“Sema kwa ajili ya wale wasioweza kujisemea, kwa ajili ya haki za wote walioachwa ukiwa. 9Sema na uamue kwa haki, tetea haki za maskini na wahitaji.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.