Mithali 31:5
Proverbs 31:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wasije wakanywa na kusahau vile sheria inavyoamuru na kuwanyima haki zao wote walioonewa.
Proverbs 31:5 in English
Proverbs 31:5 · Berean Standard Bible
lest they drink and forget what is decreed, depriving all the oppressed of justice.
Context
3Usitumie nguvu zako kwa wanawake,
uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme. 4“Ee Lemueli, haifai wafalme,
haifai wafalme kunywa mvinyo,
haifai watawala kutamani sana kileo, 5wasije wakanywa na kusahau vile sheria inavyoamuru
na kuwanyima haki zao wote walioonewa. 6Wape kileo wale wanaoangamia,
mvinyo wale walio na uchungu, 7Wanywe na kusahau umaskini wao
na wasikumbuke taabu yao tena.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.